Contact us
We value communication. Need help?
Our support
We focus on customers needs and feedback. Drop us a message for support or assistance.
Pre-sales questions
Make purchasing decisions with certainty. Know what others are asking.
Whatsapp chat
Chat with us direct. We’re here to help, Contact us we will get back to you as soon as we can.
Drop us a Message
Still Need Help?
Still not sure what you need? We’re here to help, Contact us we will get back to you as soon as we can.
Branches - Our Support Team
Arusha Office
+255 745 122 229
Dar es Salaam Office
+255 679 222 923
Dodoma Office
+255 673 222 923
Mwanza Office
+255 746 222 923
Mbeya Office
+255 659 122 229
Frequently asked questions
Jiko la Positive Cooker linapatikana wapi ?
Tunapatikana mkoa wa Arusha: 0745 122 229, Dar es Salaam: 0679 22 29 23, Dodoma 0673 22 29 23, Mwanza: 0746 22 29 23.
Je, Lina option ya kupunguza na kuongeza kiasi cha moto?
Watumiaji wa Positive cooker wanauhuru wa kuongeza na kupunguza moto vyovyote wanavyotaka tofauti na majiko mengine kama ya mkaa au gesi. Moto wa juu ni 2,200c na moto wa chini ni 200c.
Linatumia unit ngapi kwa lisaa?
Kwa lisaa lizima inatumia 1 unit kama 360 Tshs.
Usalama wake ukoje?
Jiko La Positive Cooker haliwaki bila kuweka Sufuria jikoni, Pembezoni mwa jiko la positive cooker halitoi moto. Positive cooker liko mahususani na sufuria ya kilichopo ndani, na sio nje ya sufuria, kwahiyo hautopoteza moto nje, kama majiko ya gesi.
Warranty yake ni ya muda gani?
Warranty yake ni ya mwaka mzima, hivyo unaweza kuwa na amani kwa kipindi hicho chote. Iwapo kutatokea tatizo lolote linalohusiana na utengenezaji, utaweza kupata msaada unaohitajika. Ni muhimu kusoma na kuelewa vigezo na masharti vya warranty ili ujue ni matatizo gani yanayofunikwa na yapi hayafunikwi.